By Ngilisho Tv
Mfanyabiashara wa mazao, Mkazi wa Mtaa wa Gendi Barazani Mjini Babati mkoani Manyara Thomas Karatu, baba wa familia ya watoto watatu, ameuawa kwa kuchinjwa na kutobolewa na visu shingoni. Mwili wake umekutwa ndani ya nyumba akiwa amefariki dunia.
0 Comments