Nilitafuta mke hadi nikasema nina mikosi!
By Ngilisho Tv
Jina langu ni Sam awali katika kutafuta mke wa kumuoa kuna wakati nilifikia kipindi na kusema huwenda nina mikosi katika maisha yangu, hiyo ni kutokana kila mwanamke ambaye nilikuwa namtongoza alikuwa akinikatalia ombo langu.
Sikujua sababu ni nini hasa maana kama ni mvuto wa sura ninao, nina kazi ya kunipa kipato kizuri tu cha kijikimu na kuendeleza maisha yangu na hata kumuhudumia mwanamke ambaye nitakuwa naye katika mahusino.
Ila sasa nina mke ambaye ni raia wa Canada, alikuja nchini kutalii na ndipo aliweza kukutana na mimi na kuanzisha mahusiano, kukutana kwetu kulikuja baada ya mimi kuhaingaika sana kutafuta dawa za mvuto wa kimapenzi ambazo nilikuja kuzipata kwa Kiwanga Doctors.
Mtu huyu nilikutana naye kupitia mitandao ya kijamii ambapo kwenye group moja la WhatsApp linalohusu mambo ya uchumba, dada mmoja alituma namba yake na kueleza Kiwanga Doctors kutokea Migori, Kenya ambaye alifanisha lengo lake la kupata mume.
Nikiwa katika hali ya kukata tamaa, niliamua kupiga moyo konde na kumtumia Kiwanga Doctors ujumbe mrefu kupitia WhatsApp nikimueleza kuhusu shida yangu. Haikuchukua muda ujumbe wangu ukawa umejibiwa na mchakato wa kutumiwa dawa ukawa umeanza.
Baada ya kupata dawa zangu nilianza kuzitumia nikiwa na matumaini tele, sasa siku moja nikiwa nakatiza maeneo ya mjini nilikutana na dada mmoja wa kizungu ambaye alikuwa anahitaji nyumba ya kufikia wageni, kutokana mimi nilikuwa ni mwenyeji wa pale, nilimsaidia kupata nyumba hiyo mara moja.
Aliniomba namba yangu ya simu na kuniambia atanitafuta siku inayofuata, sikuwa na mawazo kuwa anaweza kuja kuwa mpenzi wangu, nilikuwa najua tu anaweza kunipa kazi za hapa na pale na baadaye kupata fedha za kusukuma maisha.
Basi akanipigia tukakutana na kuzungumza sana, tukala na kunywa, tuliendelea kuzoeana hadi ikafika hatua za yeye kuonyesha dalili kuwa ananipenda.
Nilisita kumwambia kuhofia kuwa naweza kuharibu urafiki wetu, mwenyewe uvumilivu ulimshinda na kunitumia SMS kuwa ananipenda ana angependa niwe mume wake.
Na hatimaye tulianza mahusiano hadi kuja kufunga ndoa na sasa tumejaliwa kupata watoto watatu wa kiume, maisha ni mazuri sana, watu wengi wanauliza nimefanya nini hadi nikaweza kumuoa, siri ya ushindi wangu ni Kiwanga Doctors.
Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116469840 au tembelea tovuti yao, www.kiwangadoctors.co.tz kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.
0 Comments