MREMBO AFICHUA SIRI YA KUPATA KAZI PAMOJA NA MPENZI WAKE!

 

Mrembo afichua siri ya kupata kazi pamoja na mpenzi wake

By Ngilisho Tv 


Jina langu ni Wema kutokea Mwanza, nakumbuka kipindi nasoma sekondari nilikuwa na uhusiano na mkaka mmoja ambaye alikuwa anasoma shule ya hapo jirani kwetu.




Yalitoka matokeo ya kumaliza sekondari nilifaulu vizuri, nilichaguliwa kwenda kidato cha tano nilifurahi sana lakini mwenzangu alifeli kabisa na tulikua tunapendana sana, nilipenda sana mimi na yeye tuendelee mbele.


Kiukweli iliniumiza kufeli kwake, mimi nilichaguliwa shule ya mbali na yeye alibaki mtaani kupambana, aligombana na familia yake na ilimlazimu kuanza kupanga chumba chake mwenyewe ili awe huru.


Kumbuka hakuwa na kazi maalumu hivyo hali ilikua ni ngumu kidogo, familia yetu ilikuwa inajiweza hivyo kila nilipokua napewa fedha tuliigawana ili na yeye apate kuishi, hivyo maisha yaliendelea hivyo na tulipendana sana.


Alikuwa akinijali sana achilia mbali hali ya fedha haikuwa nzuri ila alinipa upendo na nilifurahia sana, alikuwa ni mtu wa kujichanganya sana, hivyo alijuana na watu wengi ikampelekea kupata nafasi ya kazi nzuri na yenye mshahara mzuri.


Hivyo tulifurahia sana na mambo yalikua mazuri, hakuacha kunijali hapa sasa ndipo nilijiona Malkia maana hamna kitu nilitaka nikanyimwa hata ambavo sijaomba alinipa ila kukoleza penzi letu.


Ukweli nilikula raha, niliamini ndio mwanaume wa maisha yangu, nilimuamini kuliko nilivyojiamini mwenyewe, maisha yaliendelea nikamaliza kidato cha sita, sikutaka kurudi nyumbani, nikaendelea na chuo ila yeye alipata kazi Dar es Salaam.


Nilipomaliza chuo nilirudi nyumbani huku nikisubiri ajira lakni sikupata nikaangaika huku na kule ili nipate ajira lakini sikufanikiwa kupata ajira.


Nilihuzunika sana, siku moja katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na habari za Kiwanga Doctors kutokea Migori, Kenya kuwa anasaidia watu kupata kazi, basi nikawasiliana naye kupitia namba yake na kumueleza shida yangu.


Basi alinihudumia kwa kunifanyia kile kinachojulikana kama job spells, basi baada ya muda mfupi kweli nikapata kazi, ilibidi nimfuate, mpenzi wangu ili tuanze maisha mapya alifurahi sana mpenzi wangu na sasa tumeweza kupata watoto wawili pamoja.


Kumbuka kuwa Kiwanga Doctors ana uwezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda katika michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa kimapenzi n.k.


Ni watu wengi hadi sasa wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116 469840 au tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.co.tz kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.

Post a Comment

0 Comments