DAWA YA KANSA (SARATANI) ZA AINA ZOTE YA DAKTARI KAZOBA YATIBU WATU 6 WILAYA YA KARAGWE MKOANI KAGERA
By ngilishonews.com
Tafiti zinaonyesha asilimia kubwa ya wakazi wanaoishi eneo la Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera wamekuwa wakisumbuliwa na Changamoto ya ugonjwa wa Kansa
Tafiti hizo ambazo tumezifanya Kazoba International tumegundua kuwa eneo hilo linakabiliwa na changamoto ya Saratani na hii ni baada ya kupata wagonjwa wengi kutoka eneo hilo ambao tumefanikiwa kuwatibu na kupona kabisa
Tafiti zetu zimegundua changamoto ya Saratani katika eneo hilo inasababishwa pengine na utumiaji wa maji ya visima ambavyo vimekuwa vikichimbwa bila ushauri wa wataalam wa serikali na hivyo visima hivyo kuwepo kwa madini ambayo wakazi hao wamekuwa wakiyatumia bila wao kujua
Sababu nyingine ambayo kazoba tumeibaini ni utumiaji wa vidonge vya kutibu maji ambavyo huwekwa katika visima hivyo bila kuzingatia utaratibu na ushauri wa wataalam
Hata hivyo tumetoa huduma ya kutibu wagonjwa wa Saratani katika eneo hilo la Karagwe na wamepata matokeo mazuri ikiwemo kupona kabisa kwa wagonjwa na wengine kunyanyuka vitandani
Tunashauri wagonjwa kuendelea kutumia Dawa zetu kwa matokeo mazuri ya kutibu ugonjwa huo ila pia wananchi kuchukua tahadhari ili kuepukana na athari zinazopelekea magonjwa kama haya
Aidha tunazishauri mamlaka za serikali ikiwemo watafiti kuangalia kwa jicho la karibu changamoto hiyo ya uchimbaji wa visima vya maji vinavyohisiwa kuwa ndio chanzo cha visababishi na pia matumizi ya maji yasio salama ili kuondokana na Tatizo hilo linalopelekea kupotea kwa nguvu kazi ya Taifa
Karibu Kazoba tukuhudumie,kwani afya yako ndio Mtaji wako wa Kwanza mtafute kwa mawasiliano 0655 251 118.
0 Comments