By Ngilisho Tv
Mkuu wa vikosi vya Ulinzi vya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema Uganda inatoa saa 24 vikosi vyote vilivyopo katika Mji wa Bunia Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) lasivyo Jeshi lake litashambulia Mji huo.
Kainerugaba ametoa kauli hiyo Februari 15 katika mtandao wake wa X. Huku akielezwa kuwa na historia ya kuchapisha maoni ya uchochezi kuhusu sera za kigeni mara kwa mara.
Alisema ana mamlaka ya Rais Yoweri Museveni, ambaye pia ni babake ambako hata hivyo, alipotafutwa Msemaji wa jeshi la Uganda alisema hawezi kuzungumzia suala hilo.
0 Comments