RAIS TRAOLE'S AWAPUNGUZIA VIFUNGO WAFUNGWA AELEKEZA ADHABU KWENYE KILIMO

By Ngilisho Tv 



Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traole's amefanya Mageuzi ya  sheria za magereza ambapo wafungwa wataweza kupunguza vifungo vyao kwa kufanyakazi za Kilimo.


Traole's amefanya Mabadiliko hayo akilenga kufanya maboresho ya haki za binadamu na kuweka kipaumbele katika Sekta ya kilimo.


"kuanzia leo wafungwa wetu watafanyakazi katika kilimo huku hukumu zao zikipunguzwa" Alisema Traole's.


Ameongeza kuwa mataifa mengi ya Kiafrika bado yanatumia adhabu za kikoloni ambazo zilikuwa na mateso kwa watumwa wa Kiafrika.


✍️ Ngilisho Update!

Post a Comment

0 Comments