DAWA YA KAZOLINE YALETA MATOKEO CHANYA KWA WAGONJWA!
By Ngilisho Tv
MTAFITI Maarufu wa dawa za Tiba asili,dkt KAZOBA MWESIGA hivi karibuni ameibua dawa mpya ya KAZOLINE ambayo imekuwa gumzo hapa nchini baada ya kuleta matokeo chanya na mafanikio makubwa kwa kusaidia wagonjwa wengi Miongoni mwa jamii.
Mwaka 2023 mamlaka ya Tiba asili nchini iliipatia kibali dawa hiyo ya KazoLine Ikiwemo Vyeti Kutoka Kwa Mkemia Mkuu wa Serikali pamoja na Shirika la viwango Tanzania TBS Juu baada ya kuridhika na ubora na usalama wa Mtumiaji na namna inavyotibu magonjwa mbalimbali.
Dkt KAZOBA alisema Kwa sasa watumiaji wa dawa hiyo wameongezeka baada ya kuona mafanikio na manufaa ya dawa hiyo inayotibu magonjwa mbalimbali ikiwemo maumivu ya viungo vya Mwili.
Dawa hiyo ambayo imetambuliwa pia na Botanical,Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam Na Chuo kikuu cha Muhimbili kwa kuonyesha Mimea, dawa hiyo inapatikana kwa wingi nchini ikiwa inazalishwa na Kampuni ya Mzawa Ya Kazoba International Herbal Products LTD
Miongoni mwa faida zinazopatikana kwa watu wanaotumia dawa ya Kazoline ni pamoja na uwepo wa Kinga na Virutubisho Muhimu Sana katika Kukinga Na Kutibu Magonjwa Ya Maumivu Ya Viungo, Matatizo Ya Vidonda Vya Tumbo Na Pia *INAIMARISHA KINGA ZA MWILI*
+255754251118
Ends...
0 Comments