MWANAJESHI HUYU AOKOTA KIPOCHI UWANJA WA NDEGE CHENYE DOLA ELFU 41,500 NA KUMREJESHEA MWENYEWE BILA KUCHUKUA HATA SENTI MOJA,JE KAMA NDO WEWE INGEKUWAJE!

By Ngilisho Tv 

Afisa huyu anayehudumu katika jeshi la anga la Nigeria amezua gumzo mitandaoni baada ya kurejesha 

kipochi kilichokuwa na Euro 37,000  ($41,500).

Bashir Umar aliyekuwa akishika doria katika uwanja wa ndege wa Kano Kaskazini mwa Nigeria aliokota kipochi kilichokuwa na pesa na baada ya kukipekua akapata namba za simu za mmiliki wake na akamrejeshea bila hata kupungua senti moja.

Je ingekuwa wewe uliyekiokota kipochi hicho ungefanya nini?

Post a Comment

0 Comments