MSHTAKIWA MMOJA KATIKA KESI YA MAUAJI YA DADA WA MAREHEMU BILIONEA ERASTO MSUYA AFARIKI DUNIA

 Na Joseph Ngilisho ARUSHA 


Aliyekuwa mshtakiwa namba mbili  katika kesi maarufu ya mauaji ya, Aneth Msuya(dada wa bilionea Erasto Msuya) REVOCATUS MUYELLA(Ray) amefariki dunia katika hospitali ya Rufaa ya Mt Meru,imefahamika.

Muyella pamoja na mjane wa bilionea Msuya,MIRIAM MRITA walishtakiwa kwa kosa moja la kumuua Aneth Msuya.Dada wa marehemu Bilionea Erasto Msuya. 

Hata hivyo mapema February mwaka huu, Mahakama Kuu kanda ya Dar Es Salaam iliwaachia huru ,hukumu iliyozua mjadala na malalamiko upande wa wanandugu wakidai haki haikutenda   na serikali kudaiwa kukata rufaa kupinga maamuzi hayo.



Mazishi ya marehemu Ray yapo nyumbani kwake, Olasiti Jijini Arusha kwa hatua zaidi na mipango ya Mazishi.
 



Ends..






Post a Comment

0 Comments