Kwanini baadhi ya wanaume hawataki kuoa mwanamke mwenye mtoto?
Jina langu ni Zamaradi, wanaume wengi wamekuwa wakitamani kuwa na mimi na hata kunioa lakini kila ambapo nilikuwa nawaambia kuwa nina mtoto waliacha mara moja kunifuatilia na wengine kukatisha kabisa mawasiliano.
Nikiwa shule ya msingi nilibeba ujauzito wa mwanfunzi mwenzangu na kujifungulia mtoto nyumbani kwetu na amekuwa akilelewa na hapo hadi sasa ingawa amekuwa mkubwa na kuanza shule ya msingi.
Siku zote nimekuwa nikijishughulisha na biashara mbalimbali na kuweza kuendesha maisha yangu bila kumtengemea mtu yeyote na kumuhudumia mtoto wangu wangu ambaye nampenda sana.
Unajua mwanamke akizalia kwao ni ngumu sana kuolewa kutokana na tamaduni za wanaume wa Kiafrika, huku wengine wakiwa na kibehe kwa madai kuoa mwanamke ambaye tayari ana mtoto ni sawa na kununua shamba la miwa karibu na shule ya msingi.
Kuna siku nilisafiri kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka, ndipo nilipofikia kwa rafiki yangu wa miaka mingi, Pili ambaye anaishi na mume wake na watoto wao wawili, hakika ilikuwa ni familia ya ajabu sana.
Tulipata muda wa kuzungumza mengi, aliniuliza kama nimeolewa, jibu langu kwake lilikuwa ni bado ila nina mtoto, akaniuliza kwanini sitaki kuolewa wakati sasa naonekana kuwa mtu mzima?. Nilimjibu wanaume wamekuwa wakinikimbia baada ya kubaini nina mtoto.
Pale pale alichukua simu yake na kunipa namba ya Dr Bokko, aliniambia huyu atanisaidia kumpata mume mara moja na amekuwa akisaidia watu wengi ukanda wa Afrika Mashariki akiwemo yeye.
Siku mbili baada ya kurudi nyumbani kwangu, nilipinga namba ile na kumueleza yote Dr Bokko, aliniambia nisiwe na wasiwasi kwani nitapata mwanaume wa ndoto zangu siku sio nyingi.
Nakumbuka haukupita muda mrefu, nilikutana na kijana mmoja katika Hoteli niliyoenda kupata chakula cha mchana na kuniomba tuongee, nikamjibu sina muda kwa wakati huo, basi akaniomba nimpe namba ya simu.
Usiku wake alinipigia na kuniambia kuwa amenipenda sana na kwamba anahitaji kunioa, nilimwambia sawa ila mimi nina mtoto kama atakuwa tayari kuhusu hilo sawa.
Alinijibu hilo halina shinda yoyote kwani ameshapenda boga na ua lake, basi akaja kujitambulisha kwa wazazi wangu, akapangiwa mahari ya kutoa, akaleta na tukafunga ndoa, harusi yetu ilikuwa kubwa na ya kifahari.
Huu ni mwaka wa pili sasa tunaishi pamoja na mtoto wangu kwanza, huku tukiwa tumejaliwa mtoto mmoja. Mpigie Dr Bokko kwa namba +255618536050.
Mwisho.
0 Comments