WASIMULIA JINSI YA KUJIKINGA NA WATU WENYE MACHO MABAYA

 Wasimulia jinsi ya kujikinga na watu wenye macho mabaya 

By Ngilisho Tv



Je, umewahi kuhisi kuwa mtu fulani anakutakia mabaya au bahati mbaya maishani mwako kwa siri?, au umewahi kupata mabadiliko ya ghafla katika afya, mahusiano au jambo ambalo ni bahati yako?.  

Ikiwa jibu lako ni ndiyo kwa maswali yoyote hapo juu, basi unaweza kuwa mwathirika wa jicho baya, mtazamo mbaya ambao unaweza kusababisha madhara kwa mtu yeyote anayeupokea.

Katika makala haya, tutashiriki nawe hadithi ya kweli ya familia moja huko Eldoret nchini Kenya ambayo waliteseka kutokana na athari za jicho baya na jinsi walivyoweza kuondokana na masaibu hayo. 

Steven Ngetich na Naomi walioana kwa furaha na wakaishi Eldoret na binti yao mrembo, walikuwa na maisha mazuri, kuanzia fedha nyingi na uhusiano wenye upendo wa dhati kabisa. 

Watu wengi waliwaonea wivu, hasa majirani zao wa karibu ambao hawakuwa na furaha na pia wasio na watoto. Majirani walifanya urafiki nao na wao wakawatenda mambo mengi mema. 

Hata hivyo, nia yao majirani hao ilikuwa mbaya, waliionea jicho baya familia ya Ngetich, walifanya hivyo kwa kuchora mchoro fulani sebuleni kwao ambao ulionekana ni kitu cha kawaida lakini ilikuwa ni hila. Punde Steven na Naomi walianza kugombana, huku matatizo ya kiafya na ya kifedha yakianza. 

Wenzi hao waliokuwa na furaha mara moja walianza kubishana kuhusu mambo madogo ambayo hayakuwa mzozo hapo awali. Miongoni mwa mambo yaliyoanza kuwagombanisha ni iwapo watapata mtoto wa pili au la. Mada ikawa moto moto na kupelekea kupigana ngumi.

"Sikutaka mtoto mwingine kabisa, hapo awali, nakumbuka, hata kabla ya kufunga ndoa, tulikubaliana kwamba tutakuwa na watoto watatu lakini kuna kitu kilikuja juu yangu, sikutaka kuwa baba tena. Mke wangu alitaka mtoto haraka iwezekanavyo, na hivyo tukapigana,” alisema Steven. 

Hawakujua kuwa mchoro ule na moja ya zawadi ya jirani yao ndio chanzo cha matatizo hayo, licha ya kufanya jitihada mbalimbali ikiwa ni pamoja kuwasiliana na wazazi wao, bado mambo yaliendelea kuwa magumu kwao.  

Lakini mwisho wa siku walikuja kubaini wapi lilipo tatizo na kupata ufumbuzi baada ya kukutana na Kiwanga Doctors ambao waliwasaidia kuwapa dawa ambayo iliondoa athari za jicho baya katika maisha yao. 

Hivyo mara moja hali ilikuwa shwari, mke wa Steven Naomi aliweza kubeba mimba ya mtoto wao wa pili kama walivyokuwa wamepanga tangu awali, huku Kiwanga Doctors pia wakiwapa dawa ya kumlinda mtoto huyo dhidi ya jicho baya. 

Kiwanga Doctors wanapatikana kwa namba +255763926750 au +254769404965 au tembelea tovuti yao, www.kiwangadoctors.com. 

Mwisho

Post a Comment

0 Comments