Mwanamke atapeliwa Ksh900,000 na mpenzi wake aliyempa ili kumlipia mahari
By Ngilisho Tv
Mwanamke mmoja nchini Kenya amejikeza kwenye mitandao ya kijamii kueleza jinsi alivyovunjika moyo baada ya kumsaidia mpenzi wake katika maandalizi ya kumlipia mahari lakini siku ya tukio lenyewe hakutokea.
Akitambuliwa kama Mamiena, mwanamke huyo alifichua jinsi alivyompatia kiasi cha Ksh900,000 ili kumsaidia mwanamume wake kulipa mahari hiyo kwa familia yake.
"Ebu fikiria tayari tulikuwa tumepika, tumetayarisha ukumbi, tumenunua mapambo na tumetayarisha wachezaji wa sherehe hiyo lakini ya hakufika nyumbani kwetu siku hiyo," alieleza.
"Mipango yetu ya kufunga ndoa ilikuwa inakwenda kwa kasi na kila kitu kilikuwa sawa, tulikuwa tayari tumetambulishana rasmi, na kilichobaki ni sherehe ya kitamaduni," alisimulia.
"Tulikuwa tumepanga nimpe pesa kutoka kwenye akiba yangu kwa sababu hakuwa na kazi wakati huo, lakini baada ya kumpa pesa taslimu alitoweka. Siku ambayo ndugu zake walipaswa kuja, hakuna mtu moja, aliyejitokeza, huku kila ambapo tulipiga simu yake haikupokelewa," alisema.
"Wiki mbili baadaye nilifahamishwa kuwa alionekana Mombasa akiwa kwenye sherehe. Ndivyo nilivyodanganywa na huyo mwanamume ambaye nilimpenda sana," alisimulia Mamiena.
Kufuatia ujumbe huo mtandaoni, baadhi ya watu walimuonea huruma huku wengine wakimdhihaki kwa kumsaidia mwanamume kulipa mahari na kusema alimpenda huyo mwanaume hadi kuwa mjinga kitu ambacho sio sawa.
"Pole sana dada, itakuwa sawa tu, utapona maumivu yote, ni bora alionyesha rangi yake katika hatua hii na si katika siku zijazo baada ya ndoa maana hali ingekuwa mbaya zaidi," mwanamtandao mmoja alisema.
"Kamwe usimsaidie mwanaume ambaye hajakuoa, mpe pesa yako tu ikiwa ameshakuvisha pete ya ndoa. Wanawake watajifunza lini kuhusu hili?" mwanamtandao mwingine alisema.
Hata hivyo, maoni ambayo yalionekana kuungwa mkono na wengi ni ya mwanamume anayeitwa Hamad, anayefanya kazi Australia ambaye alifichua jinsi alivyomwadhibu jamaa yake aliyemtapeli Ksh3.7 milioni alizotuma nyumbani ili kununua ardhi na kujenga nyumba.
Mtu huyo alisimulia jinsi Kiwanga Doctors walivyomsaidia kurejesha pesa zake zote tena ndani ya muda mfupi tu baada ya ndugu yake huyo kuamua kutokomea nazo.
"Dada yangu, najua jinsi ya kukabiliana na jambo kama hilo mjomba wangu niliyemwamini sana alinisaliti baada ya kuhamia Australia ambapo nilikuwa namtumia pesa ambazo nilimkabidhi kuninunulia kiwanja na pia kunijengea nyumba," alisimulia.
"Baada ya miaka mitano, nilichokuja kupata ni rundo la mchanga, na badala ya kuninunulia shamba, alimimina nyenzo hizo kwenye boma lake na kusema kwamba amenipa kipande hicho," aliendelea kusimulia.
"Nilikwenda mahakamani, lakini mchakato ulikuwa mgumu, wakati nikitafuta suluhu, ndipo nilipokutana na Kiwanga Doctors ambao walifanikisha kushinda kesi hiyo ambayo mahakama alitangaza kwamba shamba la mjomba wangu huko Nakuru lipigwe mnada kwa thamani ya Ksh6.9 milioni na kurejeshewa fedha zangu," alisema Hamad.
Basi Mamiena baada ya kusikia hivyo, naye alitafuta namba za Kiwanga Doctors na kuwasiliana nao na kuwaeleza shida yake ya kutapeliwa kiasi cha Ksh900,000 na mpenzi wake ambao alimpenda sana.
Basi Kiwanga Doctors walimfanyia matambiko yao na ndani ya muda wa wiki kadhaa mwanaume yule alimtafuta mwenyewe na kuomba msamaha huku akieleza kuwa amepatwa na mambo mazito maishani, hivyo akaamua kumrudishia fedha zake zote Ksh900,000.
Hii inatoa somo kwa wengi, iwapo una mali zake ziliporwa, basi unaweza kuwasilina na Kiwanga Doctors kwa namba +255763926750 au +254769404965 na kupata usaidizi ndani ya muda mfupi tu. Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.com.
Mwisho
0 Comments