Amuhonga mke wangu Ksh1.3 milioni ila kashindwa kulamba asali.
By Ngilisho Tv
Kwa majina naitwa Omari Safari kutoka Mlima Mbogo nchini Kenya, tumeishi na mke wangu Lulu kwa miaka 15 ndani ya ndoa yetu, naweza kusema kati ya wanaume duniani ambao wamefaidi matunda ya ndoa mimi ni mmoja wapo.
Napata ujasiri wa kusema hivyo kwa sababu tangu nimemuoa huyu mke wangu sikumbuki kama kuna siku tumewahi kugombana au kununiana ndani ya nyumba, muda wote kwetu sisi ni upendo tu.
Vilevile mke wangu ni nzuri sana kisura na kiumbo, ni vidume wengi sana mtaani na sehemu mbalimbali vimekuwa vikimmezea mate, kila anapokatiza lazima watu wageuke kumtazama hata wanawake wenzake hufanya hivyo.
Kutokana na uzuri wake nilijua tu kuna wanaume watatumia kila nguvu, iwe kifedha ya kishirikiana kuhakikisha wanafaidi penzi lake, hivyo basi niliamua kutafua dawa ya kumfunga bila yeye mwenyewe kujua.
Nilitafuta sana kwa kuulizia kwa waganga wa jadi pale mtaani kwetu lakini walisema hawana huduma hiyo, ilinibidi kumpigia simu rafiki yangu aliyepo kijijini kumuulizia kama huko naweza kupata hiyo huduma ya kumfunga mke asitokea nchi ya ndoa.
Kwa bahati mbaya aliniambia hata huko alipo hakuna huduma hiyo bali anaweza kunisaidia, nikamuuliza kivipi?, ni kitu ambacho nilikuwa nakitamani sana katika maisha yangu ya ndoa.
"Kuna mtaalamu mmoja ambaye nimfahamu ni gwiji katika suala hilo, nimepata habari zake kwa watu mbalimbali na nimeona hata kwenye mitandao ya kijamii watu wakimsifia sana," aliniambia huyo rafiki yangu.
Mara moja alinitambulishwa kwa Kiwanga Doctors, kupitia WhatsApp akanitumia link ya tovuti yake www.kiwangadoctors.com, punde tu niliingia huko na kufanikiwa kupata namba yake ya simu.
Basi niliamua kumpigia Kiwanga Doctors, nilimwambia kuwa nahitaji kumfunga mke wangu, aliniambia hilo linawezekana ndani ya siku tatu na baada ya hapo hakuna kidume anayeweza kumgusa.
Basi mimi nikawa na imani kuwa tayari mke wangu atakuwa sehemu salama, na hivyo ni wangu pekee yangu, hakuna mtu ambaye atafanikiwa kuilamba asali yangu hata iweje.
Kupita kama miezi miwili hivi mke wangu aliniita chumbani na kuniambia kuwa jirani yetu alikuwa akimsumbua sana akimtaka kimapezi, alimuahidi kumpa fedha Ksh1.3 milioni kama akimkubalia.
Alisema alikubali lakini walivyofika chumbani jirani alishindwa kabisa kufanya kazi maana jogoo wake hakuwika kabisa.
Mke wangu aliniomba msamaha kwa kutaka kuisaliti ndoa yetu na zile fedha za jirani tuliamua kuzila kuku kwa mrija, mke wangu alinishukuru kwa hatua hiyo niliyochukua ya kumlinda maana vishawishi ni vingi.
Hapo nikajua kuwa matambiko ya Kiwanga Doctors yamefanya kazi, huyu ni mtu ni mtalaamu kweli kweli, anaweza kumsaidia mwanamke kupata ujauzito, kumlinda mume au mke, kumalima migorogoro ndani ya ndoa, kukupa mvuto wa kimapenzi na mengineo.
Mwisho.
0 Comments