RAIS DK.MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI KATIKA FUTARI

 *RAIS DK.MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI KATIKA FUTARI*.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na  Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi wakiwemo watu wenye mahitaji maalumu , Wajane, Yatima ,Wazee na Masheikh katika Futari  aliyowaandalia katika ukumbi wa Idrissa Abdul-Wakil Kikwajuni Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe: 25 Machi 2024.





Post a Comment

0 Comments