CILAO YALAANI POLISI KUZUIA MAANDAMANO YA CCM ,KUHUSU UWEKEZAJI WA BANDARI


Shirika la uraia na msaada wa kisheria CILAO limetoa tamko la kulaani Jeshi la polisi nchini kuzuia maandamano ya amani ya umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM ,yenye lengo la kuunga mkono serikali kuhusu uwekezaji wa bandari


Post a Comment

0 Comments