Askofu Leornad Mwizarubi wa kanisa la Evangelism Assembly of God (EAGT)Sayuni , lililopo Ungalimited jijini Arusha,ameitaka serikali kuruhusu kuwaondolea uwezo wa kufanya tendo la ngono(kuwahasi) wanaume wote wanaobaka na kulawiti watoto pindi itakapothibitika kutenda tukio hilo.
0 Comments